Тексты песен «Mad Ice»


1

Mad Ice - Baby Gal

(Chorus) Kila kitu nachofanya unaona hakifai baby gal, mimi nifanyeje? Nimefanya mambo mengi nikuridhishe wee lakini gal, You driving me crazy. Nifanye kitu gani uelewe! Nifanye jambo gani uridhike! ... Baby gal.....

2

Mad Ice - Malaika

(Intro) Uuwo uweeee... uwoo mama. Sema malaika... heya... nakupenda wee. (Chorus) Malaika nakupenda malaika Malaika nakupenda malaika (Verse 1) Nami nifanyeje Kijana mwenzio x 2 Furaha moyoni napo kutia...

3

Mad Ice - Nionyeshe Njia

Nionyeshe njia Usiniache nalia Wee mama wewe Wee dada wewe Nionyeshe njia Usiniache nalia Ukiniacha ntaishi vipi! Wee dada wewe x2 Nionyeshe njia Usiniache nalia Tegemeo langu ni wewe Wee dada wewe...

4

Mad Ice - Te Amo

Moyo wangu uko kwako wee Mawazo yote yako kwako wee Kila ninalolifanya nakuweza wee Na kila ninapokwenda nakuwaza wee Ndiyo maana nasema... aah Te Amo, Je t'aime, Nakupenada x2 -[duuaah shubidabaduuaahx2] I cannot...

5

Mad Ice - Wange

(Intro) Ye gwe wange... (Chorus) Woo njagala gwe okimanye Nti yegwe wange... kimanye. Nkwagalanyo mukwano... era. Sirikulekanze mukabi... owaah Nakupenda sana (Verse 1) Eh siwezi ishi bila yako wee darlin'...